SIRI YA TABASAMU
![]() |
*smile*
Unajua Siri iliyoko katika kutabasamu? |
![]() |
IN SMILE THERE IS LOVE |
* Vipi wewe na umpendaye?
* Kumjua mtu anayekupenda huburudika kukuangalia usoni kwako mda mrefu.
* Ukiangaliwa tu, TABASAMU
1. Tabasamu hutufanya tuvutie
2. Kiafya Tabasamu huongeza mfumo wa kinga
Hufanya kinga kufanyakazi kwa spidi maana mwili umejiachia
3. Tabasamu huambukiza furaha kwa watu wengine.
![]() |
TABASAMU KATIKA PENDO |
5.Tabasamu hupunguza Mishtuko ya mwili-Stress
Stress hutoweka pale tunapotabasamu na kuufanya mweli ujiachie huru
6 . Tabasamu hupunguza Shinikizo la damu (Blood Pressure)
7. Tabasamu huachilia Endorphins (kituliza Maumivu cha asili) na Serotonin
![]() |
SMILE HADI BASI |
8. Tabasamu hunyanyua uso na kufanya UONEKANE BADO MDOGO. Maana yake ukinuna sura inakuwa kama m-bibi/m-babu
![]() |
KAMUA TABASAMU |
![]() |
SMILE FOR FUTURE |
No comments:
Post a Comment